Mwinjilisti mashuhuri wa Uganda mchungaji Aloysius Bugingo, anayemuunga mkono Rais Yoweri Museveni, alijeruhiwa Jumanne jioni katika shambulio lililomuua mlinzi wake, polisi wa Uganda imetangaza leo ...