Watumizi wa mtandao sasa wanaweza kutalii mbuga ya kitaifa ya wanyama ya Samburu nchini Kenya bila kufunga safari ya kuzuru taifa hilo. Hii ni baada ya kampuni ya Google kuingiza mbuga hiyo kwenye ...