Dunia yaomboleza kifo cha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli. Asha Juma and Dinah Gahamanyi Jaji mkuu mstaafu mzee Joseph Sinde Warioba ameiambia BBC ana imani na Mama Samia ...
Dunia yaomboleza kifo cha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli. Asha Juma and Dinah Gahamanyi Rais wa Venezuela Nicolas Maduro, ametuma salamu za rambi rambi kwa Watu wa ...
Viongozi wa baadhi ya mataifa ya Afrika wamehudhuria sherehe, ikiwa ni pamoja na Jacob Zuma kutoka Afrika Kusini, Robert Mugabe kutoka Zimbabwe na Filipe Nyusi wa Msumbiji. Mhubiri mashuhuri kutoka ...
Leo ni mwaka mmoja tangu rais wa Tanzania wa awamu ya tano, hayati John Magufuli alipofariki. Shughuli za hafla ya kumbukumbu hiyo zinaongozwa na Rais Samia Suluhu aliyeambatana karibu na viongozi ...
Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari kwenye ikulu yake jijini Dar es Salaam, kuadhimisha mwaka mmoja toka aingie madarakani, Rais John Pombe Magufuli, amesema suala la Polisario linabaki pale ...
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amekonga nyoyo za Watanazania kwa mikakati yake ya kuokoa fedha za umma, ikiwemo kufuta sherehe za uhuru na badala yake kuitumia siku hiyo kufanya usafi. Rais John ...
Rais Mteule Dk. John Pombe Magufuli ameapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muhula wa pili huku akihaidi kuendeleza na kukuza ushirikiano na nchi rafiki pamoja na taasisi ...