Kiongozi wa Gabon Ali Bongo Ondimba, anayewania muhula wa tatu, atachuana na wagombea 18 katika uchaguzi wa rais utakaofanyika mwezi ujao. Familia ya Bongo imetawala taifa hilo la Afrika Magharibi kwa ...
Kundi la maafisa wakuu wa kijeshi wametangaza kwenye televisheni ya taifa nchini Gabon kwamba wametwaa mamlaka kwa sababu uchaguzi uliofanyika mwishoni mwa juma haukuwa wa kuaminika. Tangazo hilo ...
Maafisa wa jeshi wameonekana kwenye televisheni ya taifa nchini Gabon wakisema wamechukua mamlaka. Walisema wanafuta matokeo ya uchaguzi wa Jumamosi, ambapo Rais Ali Bongo alitangazwa mshindi. Tume ya ...
Hivi karibuni taarifa mbalimbali, ambazo serikali ya Gabon inadai kuwa ni uzushi, zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii zikieleza kuwa Ali Bongo yuko katika hali mahututi. Taarifa mpya kutoka ...
"Serikali inapenda kuthibitisha kwa nguvu zote kwamba hawajafanyiwa aina yoyote ya mateso au unyanyasaji kama ilivyoelezwa na mawakili wao," alisema msemaji wa serikali Laurence Ndong siku ya Jumatano ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果