Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameionya serikali ya Somalia kuacha uchokozi wa mara kwa mara dhidi ya Kenya. Onyo lake linajiri siku moja baada ya wakazi wa Mandera kulazimishwa kutoroka makazi yao ...
Tangazo la kukatizwa kwa uhusiano wa kiplomasia kati ya Kenya na Somalia kulikotokea juma hili kumesababishwa na mambo kadhaa ambayo yana athari nyingi katika eneo zima. Kwa mujibu wa taarifa kutoka ...
Serikali ya Kenya imesema imeunda kamati maalum kutatua mvutano baina yake na Somalia, saa chache baada ya serikali ya Mogadishu kutangaza kusitisha uhusiano wa kidiplomasia na Kenya. Mapema siku ya ...
Kwa karibu miezi sita sasa, mahusiano ya kidplomasia kati ya Kenya na Somalia yalionekana kuzorota kabisa.Somalia ilichukuwa hatua za kujongelea, na Kenya ikaitikia vyema. Lakini chini chini tofauti ...
Mahakama ya juu ya umoja wa Mataifa inayohusika na usuluhishi wa mipaka, siku ya Jumatatu inatarajiwa kuanza kusikiliza kesi ya mzozo wa mpaka wa bahari kati ya Kenya na Somalia, kesi inayoanza baada ...
Kenya na Somalia zimeingia kwenye kipindi kigumu cha uhusiano wa kidiplomasia. Ili kuipoza hali, Kenya inajiandaa kutuma kikosi cha usuluhishi baada ya Somalia kutangaza kuvunja uhusiano wake na Kenya ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果