Rais anayeondoka madarakani nchini Kenya Uhuru Kenyatta amempatia kongole rais mteule William Ruto kwa mara ya kwanza. Chanzo cha picha, Reuters Kiongozi wa muungano wa Azimio La Umoja Raila Odinga ...
Uamuzi huu wa rais Ruto unakuja zaidi ya wiki moja, baada ya kukutana na rais mstaafu Uhuru, Disemba 9, kikao ambacho wachambuzi wa siasa nchini Kenya, wanasema kimechangia mabadiliko hayo kwenye ...
Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake, William Ruto wameapishwa rasmi kuchukua hatamu za uongozi kwa muhula wa pili huku Rais akitangaza kuwa na ajenda mbili kuu miongoni mwa ajenda zake kwa taifa. Suala ...
Naibu Rais wa Kenya William Ruto ameafiki nia ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Kenya ya kumpatanisha na Rais Uhuru Kenyatta, limepoti gazeti la Daily Nation nchini humo. Rais wa Marekani Joe ...
Rais William Ruto ametimiza ahadi yake ya kuwaapisha majaji sita walioachwa nje wakati wengine arobaini walipoapishwa na Rais Mstaafu, Uhuru Kenyatta. Akizungumza wakati wa halfa hiyo katika Ikulu ya ...
Akizungumza wakati akiwa mjini Naivasha, Kenyatta amesema kuwa kinyume na anavyosema naibu wake mradi huo hautaathiri namna ambavyo shughuli za bandari ya Mombasa zitakavyokuwa zinaendelezwa. Kwa ...