Nchini Mauritania, rais wa zamani Mohamed Ould Abdel Aziz yuko hospitalini kwa usiku wake wa tatu. Baada ya kulazwa siku mbili katika hospitali ya kijeshi ya Nouakchott, aliingizwa hospitali usiku wa ...
Mohammed Abdulrahman, aliyekuwa mhariri na naibu msaidizi wa mkuu wa DW Kiswahili, amefariki dunia nyumbani kwake mjini Cologne akiwacha nyuma yake alama isiyofutika kwenye tasnia ya uandishi wa ...
Mrithi wa Kifalme mwenye ushawishi mkubwa nchini Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, anaanza ziara ndefu nchini Ufaransa leo Jumatano, ambapo atakutana na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ambaye ...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar kimemkana mwanachama wake, Said Issa Mohamed, kikisema kuwa kesi ...
Yanga ina asilimia 95 ya kutetea taji lake msimu huu, hasa baada ya Azam kuambulia sare na JKT Ruvu na kupokwa pointi 3 baada ya kumchezesha Erasto Nyoni dhidi ya Mbeya City, aliyekuwa na kadi 3 za ...
Muungano wa wanahabari Tunisia pamoja na mashirika ya kijamii leo wameitisha maandamano dhidi ya ziara ya Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman, kufuatia mauaji ya mwandishi habari ...
Kiongozi wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed, amesema yeye na wenzake ...