TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkani Kigoma imemkamata na kumfikisha tena mahakamani Neema Moshi ...
WANAWAKE zaidi ya 200 wamesherehekea Siku ya Wanawake Duniani, Kwa kupima afya zao, ikiwamo Saratani ya mlango wa kizazi.
BODI ya Maji Bonde la Ziwa Victoria imesimika vituo vya kufuatilia mwenendo wa maji katika mito ya Duma, Mori, Ngono, Mwisa ...
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) António Guterres amemteua raia wa Marekani James Swan, kwa ajili ya kuongoza tume yake ...
ASILIMIA 80 ya wanawake katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wamepata hatimiliki za maeneo yao baada ya ...
MARAIS watatu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC), Paul Kagame wa Rwanda, Felix Tshiseked wa Jamhuri ya ...
WANANCHI wametakiwa kuandamana katika kufanya kazi za kutafuta kipato kama vile kuchimba madini na kufanya biashara badala ya ...
‎ ‎Kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yenye kauli mbiu isemayo “Haki na usawa kwa wanawake na wasichana ni msingi jumuishi kufikia Dira 2050,” Shirika la Ilula Orphan Program ...
JESHI la Polisi mkoani Morogoro linefanikiwa kukamata magari madogo matano yaliyokuwa yakisafirisha abiria kwa masafa marefu kinyume na taratibu. Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama ali ...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amekabidhi mikopo yenye thamani ya Sh. Bilioni 7 yenye masharti nafuu kwa vijana 308 ikiwa ni mitaji ya kuwawezesha kutekeleza miradi il ...
Mbunge wa Mafinga, Dickson Lutevele, maarufu kama Villa, ameandaa futari ya pamoja iliyowakutanisha zaidi ya wananchi 600 wa ...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema serikali inaendelea kutafuta rasilimali zaidi ili kuharakisha ...