Washtakiwa tisa wanaodaiwa kuongoza genge la uhalifu na kujipatia zaidi ya Sh5.7 bilioni kwa udanganyifu mali ya Equity Bank Tanzania Limited, wakiwa chini ya ulinzi leo Ijumaa, Machi 13, 2026 katika ...
Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Ambele Mwafulango akizungumza wakati wa mafunzo kwa wataalamu wa maabara nchini kuwajengea uwezo wa kudhibiti kipindupindu nchini yaliyohitimishwa leo ...
Dar es Salaam. Aliyekuwa Gavana wa nne wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk Idris Rashidi, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 78. Dk Rashidi aliyezaliwa mwaka 1948, wilayani Mbulu katika Mkoa wa ...
Mbeya. Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), Kanda ya Nyanda za Juu Kusini imewataka wavuvi mwambao mwa Ziwa Nyasa kuchukua tahadhari kufuatia kuwepo kwa vipindi vya radi na upepo mkali wenye uwezo wa ...
Dar es Salaam. Matunda ni chakula cha asili chenye virutubisho vingi muhimu kwa afya ya binadamu. Matunda yanaweza kuwa matamu, machungu au kuwa na ladha ya wastani, na mengi huliwa mabichi hali ...
Dar es Salaam. Bei ya hisa za kampuni ya habari ya Nation Media Group (NMG) imeongezeka kwa asilimia 28.3 ndani ya siku mbili kufuatia tangazo la Jumanne kuwa mfanyabiashara Rostam Aziz ananunua hisa ...
Moshi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mkazi wa KDC, Kata ya Mbokomu, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Musa Mushi (40), kwa tuhuma za kujihusisha na udanganyifu wa kutapeli ...
Rais Samia Suluhu Hassan, apokea Taarifa za Tume ya Rais ya Kutathmini Mgogoro wa Ardhi katika Hifadhi ya Ngorongoro pamoja na Tume ya Rais ya Kutathmini Zoezi la Uhamaji wa Hiari wa Wakazi wa Eneo la ...
Marekani. Nyota wa muziki duniani, Aliaune Damala maarufu Akon amesema Afrika ni sehemu salama kwa malezi ya watoto kutokana na mfumo wa maisha na nidhamu iliyojengwa. Ikumbukwe Akon alizaliwa na ...
Dar es Salaam. Dosari za kisheria katika hati ya kiapo cha rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, kimesababisha shauri la kikatiba lililofunguliwa dhidi ya Inspekta ...
Marekani. Waigizaji maarufu wa Hollywood, Will Smith na Chris Rock huenda wakakutana hadharani (live) kwa mara ya kwanza tangu walipokosana katika Tuzo za Oscar. Kwa mujibu wa watu wa karibu wa ...
Arusha. Zikiwa zimepita siku 17 tangu agizo la Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba la kurejeshwa mali za mfanyabiashara wa Arusha, Josephine Shirima, mali hizo bado hazijarudishwa huku Jeshi la Polisi ...