LIGI Kuu England imefikia patamu kwelikweli. Arsenal inapambana kulinda pengo lake la pointi saba kileleni kwenye msimamo wa ligi hiyo dhidi ya Manchester City kwenye nafasi ya pili.
FUJO za aina yake zimeibuka mwishoni mwa mechi ya fainali ya michuano ya jimbo la Minas Gerais nchini Brazil kati ya Cruzeiro ...
Lakini kwa maajabu ya Mungu, ni namba sita. Ingekuwa hii nafasi ya sita imepatikana kwa kupigiwa kura, tungesema kulikuwa na ...
WASWAHILI wanasema 'Maji yakimwagika hayazoleki.' KMC inachofanya hivi sasa ni kujaribu kuyazoa maji iliyomwaga mapema jambo ...
Mechi ya Watani wa Jadi (Derby) katika soka, kikawaida huwa ndio mchezo unaovutia na kuteka hisia za kundi kubwa la watu ...
WINGA wa Tanzania, Simon Msuva anayekipiga Al Talaba ameendelea kuonyesha kiwango bora katika Ligi Kuu ya Iraq baada ya ...
IDADI ya timu za Ligi Kuu Bara zinaendelea kupungua katika Kombe la Shirikisho la CRDB baada ya kuchezwa mechi za hatua ya 32 bora.
KINACHOONEKANA ni kama vile Marcus Rashford ameshacheza mechi yake ya mwisho kwenye kikosi cha Manchester United baada ya kuwa na msimu mzuri akiwa kwa mkopo huko Barcelona.
KATIKA wimbo wake mpya wa African Soldier, msanii kutoka Nigeria, Patoranking amewataja nyota wawili wa Tanzania, Ali Kiba na Diamond Platnumz kama wanajeshi.
Iko hivi, mwisho wa msimu huu mshambuliaji Seleman Mwalimu kwa mujibu wa mkataba wake wa mkopo atatakiwa kurudishwa klabu ...
WAKATI Ligi Kuu Bara ikiwa imesimama kupisha Kombe la Shirikisho la CRDB (FA), Feisal Salum ‘Fei Toto’ ndiye kinara ...
SEKTA ya michezo nchini imezidi kupiga hatua katika miaka ya hivi karibuni, huku ikianza kuonekana kama moja ya maeneo yenye ...