BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga imeendeleza rekodi bora ya kutopoteza, baada ya kikosi hicho kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Singida Black Stars, katika mechi kali iliyopigwa leo... UO ...
Licha ya kuwa rekodi hiyo nzuri katika ligi, Simba ina kumbukumbu ya kuchapwa 3-1 na Singida Black Stars, ikatupwa nje ya Kombe la Shirikisho la CRDB msimu uliopita 2024-2025 hatua ya nusu fainali, ...
UNAWEZA kusema nahodha msaidizi wa Yanga, Dickson Job, ni kama ameumaliza msimu kutokana na jeraha la goti alilopata huku taarifa zikibainisha, hadi kupona kwake na kurejea uwanjani akiwa fiti, ...
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF), Hussein Ahmada Vuai amesema shirikisho hilo linaendelea na jitihada za ...
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Vanillah ameishukuru Kampuni ya kimataifa ya Apple Music kumweka katika orodha ya nyimbo ...
MWANAMUZIKI wa Marekani, Jennifer Lopez (JLO) amesema aliwahi kufikia hatua ya kutaka kujiua baada ya kuachana na aliyekuwa ...
KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amesema anataka kuvunja rekodi zote nchini humo baada ya kupata adhabu nyingine ya kufungiwa, huku akisisitiza hataacha kuwatetea wachezaji wake.
PICHA zinazoonyesha mlinzi, Rushine De Reuck akisaini mkataba mpya wa Simba juzi hazikunipita bure. Ilikuwa lazima nitie ...
ILE siku ulokuwa unangoja, imefika. Ni mtafutano, wakati chama lako unalolifagilia litakapotupa kete yake muhimu katika mechi ...
SUPASTAA wa Real Madrid, Kylian Mbappe, anaripotiwa kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji maarufu wa Netflix.
DUNIA ya sasa ambayo mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya watu, wapo vijana ambao wameitumia kama daraja la kufikia mafanikio yao.
Azam imethibitisha kwamba mchezo wake dhidi ya Yanga, Jumapili, Machi 15, 2026 utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya Azam Complex, Dar es Salaam.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results