MANCHESTER United imeongeza jina la beki wa kimataifa wa Brazil, Murillo Santiago Costa dos Santos, 23, kwenye orodha ya ...
JUVENTUS imeanza mazungumzo na wawakilishi wa kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Ureno, Bernardo Silva ambaye ...
MAMBO si shwari. Tottenham Hotspur imendelea kuzorota chini ya kocha Igor Tudor. Kipigo cha aibu cha mabao 5-2 ilichopata ...
Wachezaji wanajua atakapokanyaga kwa kutumia njumu hata kwa kujificha, VAR huweza kumwambia refa kuwa faulo hiyo si ya kadi ya njano, bali ni nyekundu moja kwa moja. Hii huwapa hofu na kuogopa kufanya ...
Nahodha wa Manchester City, Bernardo Silva, amesema matumaini ya timu yake kusonga mbele katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yako katika hali ngumu baada ya kupokea kichapo kizito cha ...
MANCHESTER City inakabiliwa na kazi kubwa sana ili kuendelea kuwa na matumaini ya kusonga mbele kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya ...
NI Elie Mpanzu ambaye dakika 15 za mwisho zilitosha kwake kuimaliza mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo Jumatano Machi 11, ...
MAMBO ni moto! Kama ulidhani kwamba Ukonga Kings kumepoa, sahau. Kinachoelezwa ni kwamba utakuwapo mchujo wa kusaka vipaji kwa ajili ya kuunda kikosi kitakachoshiriki mashindano ya Ligi ya ...
JOTO la fainali ya pili ya Dunda Swish Tournament linazidi kuzikumba timu za Bandari Mwanza na Bugando Planet. Fainali hiyo itafanyika Machi 15, 2026 katika Uwanja wa Mirongo mjini Mwanza, ...
ALIYEKUWA Kocha wa viungo na utimamu wa mwili wa Yanga raia wa Bosnia-Herzegovina, Adnan Behlulovic ameanza mazungumzo ya kujiunga na Azam FC kwa ajili ya kuongezea nguvu ndani ya kikosi hicho.
ZILE vurugu zote za wapi mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Tanzania Prisons na Yanga itachezwa, zimezimwa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) iliyopangwa ipigwe Jamhuri, Dodoma huku wenyeji wa ...
Kagoma alitua Simba Julai 8, 2024 akitokea Singida Fountain Gate ambayo sasa ni Fountain Gate. Katika kipindi cha miaka miwili akiwa Simba, amekuwa mchezaji muhimu eneo la kiungo licha ya kusajiliwa ...
当前正在显示可能无法访问的结果。
隐藏无法访问的结果