Mvua kubwa iliyonyesha katika maeneo mbalimbali ya Mwanza leo Machi 10, 2026 imesababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa ...
Anna Mwansasu, mkazi wa Kivule, jijini Dar es Salaam ameishukuru serikali kwa kumsaidia kugharamia matibabu ya kubadilishiwa kifaa cha CRT (Cardiac Resynchronization Therapy), ambacho kinausaidia moyo ...
Serikali imesema iko tayari kupokea maoni na mapendekezo ya wadau, hususan Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA), kuhusu marekebisho ya sheria kuimarisha ulinzi wa wanawake na watoto, dhidi ya vi ...
Shilingi bilioni 532,384 kinatarajiwa kupitishwa kuwa bajeti ya mwaka wa fedha 2026/27 katika Mkoa wa Tanga. Ofisi hiyo imepanga kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia vipaumbele vitakavyovyogusa ...