Baada ya zaidi ya miaka 66 ya ushirikiano wa kihistoria katika tasnia ya habari Afrika Mashariki, hatua mpya imeanza kufuatia uamuzi wa Aga Khan Fund for Economic Development (AKFED) kuuza hisa zake k ...
Wakulim wa mazao mbalimbali nchini, wanatarajiwa kuongezewa elimu, ili kudhibiti uuzaji holela wa mazao katika maeneo ya mipakani. Wakulim wa mazao mbalimbali nchini, wanatarajiwa kuongezewa elimu, il ...
Mvua kubwa iliyonyesha katika maeneo mbalimbali ya Mwanza leo Machi 10, 2026 imesababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa ...
Anna Mwansasu, mkazi wa Kivule, jijini Dar es Salaam ameishukuru serikali kwa kumsaidia kugharamia matibabu ya kubadilishiwa kifaa cha CRT (Cardiac Resynchronization Therapy), ambacho kinausaidia moyo ...
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, imesema itaboresha kituo cha huduma kwa wateja ambacho kitakuwa kikipokea simu mbalimbali na kusikiliza malalamiko ya wananchi, ili kuwafikia wote mikoa yote nch ...
Serikali imesema iko tayari kupokea maoni na mapendekezo ya wadau, hususan Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA), kuhusu marekebisho ya sheria kuimarisha ulinzi wa wanawake na watoto, dhidi ya vi ...
MECHI ya Ligi Kuu Bara kati ya Maafande wa Tanzania Prisons sasa itachezwa keshokutwa kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini, Dodoma. Tanzania Prisons imelazimika kuupeleka mchezo huo Dodoma kufuatia uwanja ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果