Mkurugenzi wa Uendeshaji na Biashara wa Kituo cha EFM na TVE, Denis Busulwa maarufu kama Ssebo, amefariki dunia usiku wa ...
ZAIDI ya Sh. bilioni 532 kinatarajiwa kupitishwa kuwa bajeti ya mwaka wa fedha 2026/27 katika Mkoa wa Tanga, ambako ofisi hiyo imepanga kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia vipaumbele vitakavyogusa ...
MAMLAKA ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imejipanga kuendelea kutoa elimu kwa wakulima mbalimbali nchini ili kudhibiti uuzaji holela wa mazao katika maeneo ya mipakani. Mamlaka hiyo ...
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Olivanus Thomas, amewafariji na kuwapatia msaada wa mahitaji muhimu waathirika wawili wa tukio la radi, Lisungu Haule na Olban Ngatunga, waliokumbwa na janga hilo katika ...
Mvua kubwa iliyonyesha katika maeneo mbalimbali ya Mwanza leo Machi 10, 2026 imesababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa ...
Baada ya zaidi ya miaka 66 ya ushirikiano wa kihistoria katika tasnia ya habari Afrika Mashariki, hatua mpya imeanza kufuatia uamuzi wa Aga Khan Fund for Economic Development (AKFED) kuuza hisa zake k ...