WEKUNDU wa Msimbazi wako katika hatua za mwisho za kuwasajili nyota wapya watatu ambao wanatarajiwa kuwasili nchini wakati wowote ili kukamilisha taratibu za kujiunga na Simba, ikiwamo kufanya vipimo ...
WAKATI timu yao ikitarajia kucheza mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli kesho, klabu ya Simba imemshusha winga, Elie Mpanzu nchini kwa ajili ya kumalizana naye ...
Juzi Jumamosi, Simba ilikuwa Tunisia kucheza dhidi ya Esperance katika mechi ya tatu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa kundi D. Kabla ya mechi hiyo, Simba ilikuwa imekatiwa tamaa ya kutoboa kufuzu ...
DAR ES SALAAM; USIKU huu timu ya Simba imehitimisha tamasha lake la Simba Day kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Gor Mahia ya Kenya na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es ...
ILE siku ndo leo. Ndio, leo ndio kilele cha Tamasha la Simba Day kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ambako wenyeji wa sherehe, Simba wanawapa burudani mashabiki kukiona kikosi kipya cha ...
SIMBA itakuwa uwanjani leo Jumatano kwa mara ya kwanza tangu itoke kambini Misri, lakini baada ya mshambuliaji Jonathan Sowah, kuna staa mwingine inaweza kumkosa mbele ya Yanga. Simba itamkosa Sowah ...
吉宝有限公司(Keppel Ltd)宣布,以14亿3000万元将旗下第一通(M1)电信业务出售给竞争对手SIMBA电信(Simba Telecom)。这是新加坡历史上首个电信公司合并案。 吉宝星期一(8月11日)指出,这项具有里程碑意义的交易,有望通过市场整合,以及结合两家反应快速 ...
在市场上流传一段时间,吉宝有限公司(Keppel Ltd)出售第一通(M1)电信业务的传闻成真,但收购这家电信公司的买家却令人出乎意料。 吉宝星期一(8月11日)开市前宣布,已与本地电信业者SIMBA签署股份买卖协议,拟以企业价值14亿3000万元,将第一通电信业务 ...
Zanzibar. Ni dakika 90 za uamuzi zinazoweza kuleta furaha au majonzi kwa Tanzania ambazo ni za mechi ya marudiano ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Simba na RS Berkane kwenye Uwanja wa ...
Simba SC ya Tanzania itavaana na timu pendwa ya Kombe la Shirikisho la CAF, Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, baada ya timu zote mbili ...
KLABU ya Simba ya Dar es Salaam, imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Zoran Maki. Taarifa rasmi ya Simba. Taarifa kwa umma iliyotolewa muda mfupi uliopita na Ofisa ...
平台声明:该文观点仅代表作者本人,搜狐号系信息发布平台,搜狐仅提供信息存储空间服务。